SAUTI:INATAJWA BEKI WA SIMBA ONYANGO ATAIBUKIA SINGIDA BIG STARS
INAELEZWA kuwa beki wa Simba, Joash Onyango yupo kwenye hesabu za kuibukia ndani ya kikosi cha Singida Big Stars
INAELEZWA kuwa beki wa Simba, Joash Onyango yupo kwenye hesabu za kuibukia ndani ya kikosi cha Singida Big Stars
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa majuku wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Fiston Mayele kwenye mechi zao zijazo.
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) katika kikao cha Agosti 26 ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali na kufanya maamuzi huku waamuzi wakifungiwa na wengine kupewa onyo. Ni Raphael Ikambi aliyekuwa mwamuzi wa kati mchezo wa Coastal Union 0-2 Yanga uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Ikambi…
Ligi mbalimbali zinaendelea tena wiki hii, na meridianbettz bado kuna pesa za kutosha kukupatia wewe mshindi. EPL bado ni ya moto sana wiki hii tutashuhudia mechi nyingi zikipigwa viwanja tofauti. Jummane hii Southampton waliotoka kupoteza mechi iliyopita watakipiga na Chelsea ambao wametoka kushinda mechi iliyopita. Meridianbet wameipa nafasi kubwa ya ushindi Soton kwa odds…
MCHEZO wa kwanza umekishwa na kila mmoja ameambulia maumivu hasa baada ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Uganda. Haikuwa siku nzuri kwa mashabiki na wachezaji pia kutokana na malengo ambayo walikuwa wanatarajia kushindwa kutimia. Uwanja wa Mkapa mbele ya mashabiki wao Stars ilikwama kuibuka na ushindi…
MSHAMBULIAJI namba moja wa Yanga, Fiston Mayele ameweka wazi kuwa msimu wa 2022/23 utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na kila timu kujipanga kufanya vizuri. Nyota huyo msimu wa 2021/22 alitupia mabao 16 na pasi nne kwenye ligi huku namba moja akiwa ni George Mpole ambaye alitupia mabao 17 na pasi nne. Nyota huyo ameweka wazi…
UONGOZI wa Azam FC umefikia makubaliano ya kuachana na makocha wao wawili kwenye majukumu ya kuinoa timu hiyo hivyo watabadilishiwa majukumu. Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam FC imeeleza namna hii:”Tumefikia makubaliano ya pande mbili na kocha wetu, Abdihamid Moallin, na msaidizi wake, Omary Nasser, kuachia ngazi kama kocha mkuu na msaidizi mtawalia. “Hata hivyo, makocha…
ASHA Baraka shabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amebainisha kuwa licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Uganda kuna nafasi ya kupata ushindi mchezo ujao Uganda ambao utakuwa wa marudio Septemba 3
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ushindani kwenye ligi ni mkubwa jambo ambalo linawafanya wazidi kujipanga kwa mechi zao. Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi ambalo walitwaa msimu wa 2021/22 kutoka mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Timu hiyo imecheza mechi mbili na kukusanya pointi sita, ilishinda mabao 2-1…
KLABU ya Liverpool imeweka dau la pauni milioni 60 kuinasa saini ya kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong. Mpango wa timu hiyo ni kuinasa saini ya nyota huyo ili aweze kutua ndani ya Anfield kwa ajili ya kucheza mechi za Ligi Kuu England pamoja na mashindano mengine. Jurgen Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool amebadili mawazo…
MCHEZO wa kwanza wa kirafiki nchini Sudan kwenye mashindano maalumu ambayo Simba kutoka Tanzania imealikwa na Al Hilal wameibuka na ushindi wa mabao 4-2 Asante Kotoko. Kipa namba moja kwenye mchezo huo alikuwa Ally Salim ambaye alibeba mikoba ya Aishi Manula na Beno Kakolanya ambao wapo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa…
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amebainisha kuwa kwenye mashindano ya kimataifa wanakwenda kufanya vizuri na wamejipanga kushinda na kwa uzoefu ambao wameweza kupata ni jambo la msingi kuangalia namna ya kuweza kuwauza wachezaji ikiwa watapata ofa hawana lengo la kuwazuia
KIUNGO wa Yanga, Aziz KI ni miongoni mwa mashabiki ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa leo Agosti 28,2022 kutazama mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu CHAN kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Uganda
TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa kuwania kufuzu CHAN. Dakika 45 za mwanzo timu zote zilikwenda vyumba vya kubadilishia nguvo wakiwa hawajafungana baada ya kutoshana nguvu. Zikiwa zimesalia dakika tatu mchezo kukamilika, Uganda waliweza kupachika bao kupitia kwa Travis Mutyaba dakika ya 87…
KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Simba Queens, Joelle Bukulu amewezakutoa neno baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa CECAFA
YANICK Bangala MVP wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 amechambuliwa
TAZAMA namna Simba Queens walivyotwaa ubingwa mwanzo mwisho Uwanja wa Azam Complex, Agosti 27 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya She Corprote kwenye mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ukanda wa CECAFA