MZEE WA KUCHETUA BM ZALI LAKE LIPO HAPA
KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Yanga, Bernard Morrison ana zali na Coastal Union akiwa na uzi wa timu mbili tofauti kwa kuwatungua bao lake la kwanza. Raia huyo wa Ghana, msimu wa 2021/22 alikuwa akivaa uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe alipokuwa ndani ya kikosi cha Simba na msimu huu wa 2022/23 uzi wake…