Nigeria Ku’test’ Mitambo dhidi ya Zimbabwe Mechi ya Kirafiki
Mechi hii ni sehemu ya nusu fainali ya kombe la kirafiki la Unity Cup 2026, na itapigwa, kuanzia saa 21:30 kwa saa za Nigeria. Kwa Nigeria, ni nafasi ya kulipa kisasi baada ya kukosa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa kupoteza kwa penalti dhidi ya DR Congo. Kwa Zimbabwe, wana motisha ya kuendeleza kasi baada…