Mchezaji wa Kimataifa Ntibazonkiza Anarudi Klabu ya Vital’o FC
Mchezaji wa kimataifa wa Burundi, Saidi Ntibazonkiza, amerejea rasmi kwenye klabu yake ya zamani, Vital’o FC, baada ya kipindi kirefu akiwa mbali na uwanja wa mpira. Ntibazonkiza atashiriki katika mechi za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Burundi pamoja na mashindano ya Kombe la Rais, akitarajiwa kuongeza nguvu kwenye mstari wa mbele wa Vital’o…