Man United Yalazimishwa Sare ya 1-1 na West Ham, Bao la Mwisho Lamnusuru Sesko
Manchester United imelazimishwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa katika dimba la London Stadium, matokeo yaliyokatisha rekodi yao ya ushindi wa mechi nne mfululizo na kuendeleza ukame wa ushindi ugenini dhidi ya Wagonga Nyundo. West Ham walianza kwa kasi na kuonyesha dhamira ya kutafuta…