
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
PAMOJA na mashabiki wa Yanga kuendelea kuwa na shauku ya kutaka kumuona winga wao mpya raia wa DR Congo, Chico Ushindi akifanya mambo yale aliyokuwa akiyaonesha enzi hizo akiwa na TP Mazembe, unaambiwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi, kumbe anamuandaa kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Winga huyo amejiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15, mwaka huu akitokea TP Mazembe. Chanzo chetu kutoka katika kambi…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wepata ushindi mbele ya Tanzania Prisons baada ya mechi tatu za ugenini kushindwa kupata matokeo. Bao la ushindi limepachikwa na Meddie Kagere baada ya mwamuzi wa kati kuamua ipigwe penalti ambayo ilikuwa ikionekana kupingwa na wachezaji wa Prisons. Jumla Simba inakuwa imefunga mabao 15 katika mechi 14…
Dakika 45 Uwanja wa Mkapa timu zote hazijafungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ubao unasoma Simba 0-0 Tanzania Prisons na timu zote mbili zinacheza kwa nidhamu kubwa hasa katika eneo la ulinzi. Prisons madhambulizi yao ni ya kustukiza na wamepata kona mbili kuelekea lango la Simba huku Simba ikiwa imepata kona nne na zote…
BAADA ya kuona mabeki wa timu pinzani wakimkamia kila wanapokuwa uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amemtaka straika wake, Fiston Mayele kuhakikisha hakai na mpira mguuni kwa muda mrefu ili kujiepusha na kupata majeraha yatakayoigharimu timu. Mayele ndiye straika tegemeo kwenye kikosi cha Yanga akiwa kinara wa mabao akifunga sita ndani ya Ligi Kuu Bara, huku wikiendi iliyopita akifunga bao pekee kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbao FC na kufuzu…
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kimewasili salama Adis Ababa nchini Ethiopia. Na lengo kubwa la kiweza kufika huko ni kwa ajili ya mchezo wa kuwania kusaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia. Utakuwa ni mchezo wa marudio dhidi ya timu ya Wanawake ya Ethiopia kesho…
NAHODHA msaidizi wa Simba, Gadiel Michael amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Simba ikiwa nafasi ya pili na pointi 25 ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Prisons inayokwenda kwa mwendo wa pira gwaride. Ikumbukwe kwamba Simba kwenye mechi tatu za ligi ilizocheza ugenini imeambulia…
JEREMIA Juma, nyota wa kikosi cha Tanzania Prisons amesema kuwa hana mashaka na mchezo wa leo dhidi ya Simba yenye mabeki wakongwe ikiwa ni pamoja na Henock Inonga, Pascal Wawa na Joash Onyango. Juma ni mshambuliaji pekee ambaye amefunga hat trick kwenye ligi msimu wa 2021/22 na aliwatungua Namungo FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa…
KOCHA Mkuu wa Azam raia wa Marekani, Abdi Hamid Moallin ameweka wazi kuwa kipaumbele chake kikubwa mara baada ya kurasimishwa kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, ni kuhakikisha wanashinda ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam (FA) linalotetewa na Simba. Moallin alitangazwa rasmi kuchukua majukumu ya ukocha mkuu ndani ya kikosi chaAzam Januari 25, mwaka huu mara baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa mafanikio kama kaimu kocha mkuu tangu…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons ameweka wazi kwamba wapinzani wake Simba ambao anakwenda kukutana nao kesho kwenye mchezo wa ligi Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku ni timu bora hivyo wanawaheshimu lakini jambo pekee ambalo waahitaji ni pointi tatu.
UWEZO mkubwa ambao umeonyeshwa na kikosi cha Simba hususani viungo wao raia wa Zambia, ClatousChama na Rally Bwalya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam dhidi Dar City umemuibua kocha mkuu, Pablo Franco ambaye ameweka wazi kuwa hawatakata tamaa kuhusu ubingwa wao na watapambana kushinda kila mchezo ulio mbele yao. Simba Januari 30,…
FARID Mussa,kiungo wa Yanga ni miongoni mwa viungo ambao kuna muda wanakupa kile kilicho bora na muda mwingine anakupa kitu ambacho hujatarajia. Kwa msimu wa 2021/22 hajawa kwenye bora licha ya kupata nafasi katika mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho. Ndani ya Yanga ametoa pasi moja ya bao na hajaweza kufunga…
KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanaepukana na majeraha ya mara kwa mara, Daktari wa Viungo waYanga,MtunisiaYoussefAmmar amewapiga stop mastaa wa timu hiyo kutumia vyakula aina ya Burger na Pizza. Hiyo ni katika kuhakikisha wanapunguza ongezeko la wachezaji wenye majeraha katika kikosi chao hicho ambacho kimepiga kambi hukoAvic Town, Kigamboni nje kidogo ya jiji la Dar es…
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ikiwa ni mzunguko wa 14 baada ya mzunguko wa 13 kukamilika huku vinara wakiwa ni Yanga na pointi zao no 35 kibindoni. Hii hapa ni ratiba ya mzunguko wa 14 mwendo utakuwa namna hii:- Ruvu Shooting v Mbeya Kwanza, Februari 3, Uwanja wa Azam Complex. Simba v Tanzania Prisons,…
WACHEZAJI wa Simba wanaratiba ngumu kwelikweli ndani ya mwezi huu mpya wa Februari katika kusaka matokeo kutokana na ratiba kwao kuwa mwendo wa bandika bandua. Mabingwa hao watetezi wakiwa nafasi ya pili na pointi zao 25 kesho Februari 03 wanakazi ya kuanza kusaka ushindi mbele ya Wajelajela, Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa. Simba inakumbuka kwamba…
UONGOZI wa Klabu ya TP Mazembe, umefunguka kuhitaji kumsajili winga Mtanzania, Simon Msuva anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, huku ukiweka wazi mipango yao ya kuhitaji kukirudisha kikosi chao katika mafanikio ya kimataifa kunako michuano ya Afrika. Msuva licha ya timu yake ya Wydad Casablanca kuendelea kucheza katika mashindano mbalimbali, lakini winga huyo yupo Tanzania akiendelea kujifua, huku ikielezwa kwa sasa hayupo kwenye maelewano mazuri na mabosi wake hao kutoka Morocco. Bosi mmoja kutoka TP Mazembe…