
YANGA YAPANIA KUSEPA NA UBINGWA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango kazi wao namba moja ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Simba. Kwenye msimamo, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ni namba moja ikiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 19 ndani ya Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari…