ZIMBWE ANAANGUKA NA KUINUKA, SOMO TOSHA
LEGEND kwenye uandishi wa Habari za Michezo Bongo Saleh Ally, maarufu kama Jembe ameweka wazi kuwa beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr ni kipimo cha shida na raha kwenye soka kwa kuwa amekuwa akianguka na kuinuka kwenye upambanaji. Ipo wazi kwamba Zimbwe ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids na amekuwa akifanya…