
KIUNGO WA KAZI NGUMU SIMBA AREJEA
SADIO Kanoute kiungo wa kazi chafu kwenye mechi za kimataifa na zile za ligi amerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya USGN. Kanoute alikosekana kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas uliochezwa nchini Benin na Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0. Kwenye mechi za makundi, Kanoute amecheza mechi 4 na kayeyusha dk 329…