
VIDEO: UMESIKIA MKWARA WA KAMWE? YANGA NI KUBWA KULIKO AL HILAL
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa Yanga ni kubwa kuliko Al Hilal, Jumamosi, Yanga itamenyana na Al Hilal, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 8 ambapo amesema kuwa kiingilio kimeshshuwa ili kuhakikisha kila shabiki anafika kuishangilia timu hiyo