
ZIGO ANALOBEBESHWA BOCCO SIO SAIZI YAKE
NIMEONA kwa sasa lawama nyingi zimekuwa kwenye safu ya ushambuliaji ya Simba kitaifa na kimataifa, hakika ni kweli wanakosea na wanashindwa kufunga lakini je lawama hizi zinamstahili John Bocco pekee? Ukianza kwenye mechi za ligi ule dhidi ya Azam FC wakati wakitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 bado Bocco anatajwa kuwa sababu za Simba kushindwa…