
SIMBA YASHUSHA STRAIKA WA KAZI
ZIKIWA zimebaki siku saba tu kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili Januari 15, 2023, uongozi wa Simba umewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia watulie kwani mabosi wa timu hiyo wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuboresha kikosi chao kwa kushusha straika mpya. Kwenye dirisha hili dogo mpaka sasa, Simba ambao jana…