
HAALAND NI MASHINE YA MABAO HUKO
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Erling Haaland yuko mbioni kufuta kabisa rekodi za ufungaji za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Na hivi karibuni anaweza kumpita mpinzani wake mkuu kwa sasa, Kylian Mbappe katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote. Haaland amekuwa mchezaji wa tatu kufunga mabao matano kwenye mechi moja…