KILA LA KHERI WACHEZAJI WA TAIFA STARS
WACHEZAJI ambao wamepewa kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania katitka timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuna kazi kubwa kubwa ambayo mnapaswa kuifanya kwenye mchezo wa leo. Ukweli ni kwamba Watanzania wanamatumaini makubwa na kazi yenu ambayo haitakuwa nyepesi ndani ya dakika 90 kwa kuwa mpira ni mchezo wa makosa. Kikubwa ambacho kinatakiwa kwenye…