
KOCHA YANGA AANIKA SILAHA za MAANGAMIZI KUELEKEA DERBY ya KARIAKOO – ATAJA KIKOSI – VIDEO
Kauli ya kocha wa Yanga Sc Miguel Gamondi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Simba Sc. Tuna furaha kubwa kuelekea kwenye ligi huku tukiwa na mchezo muhimu wa Derby. Tupo vizuri, tuna matumaini makubwa ya kufanya vizuri hapo kesho. Hatujabadilika sana kwenye maandalizi tumejiandaa kama ambavyo tumekuwa tukifanya hapo awali” “Tumetokea kwenye wiki ya FIFA…