
ARSENAL IPO KWENYE UBORA WAKE
ARSENAL inazidi kujiimarisha kwenye nafasi ya kwanza baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Liverpool na kuifanya kuwa kwenye ubora wake chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta. Uwanja wa Emirates mapema kabisa katika dakika ya kwanza Gabriel Martinelli kisha misumari miwili ilipachikwa na Bukayo Saka dakika ya 45 na dakika ya 76 kwa mkwaju…