
ARGENTINA YAFUFUA MATUMAINI KOMBE LA DUNIA
LIONEL Messi nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa kwa sasa hawana chaguo ni lazima wapambane wenyewe kupata matokeo. Nyota huyo kwa sasa ametupia mabao mawili kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kufunga wakati ubao wa Uwanja wa Lusail Iconi uliposoma Argentina 2-0 Mexico. Messi alipachika bao hilo dakika ya 64…