Kibu Dennis Aondoka Msimbazi, Kuungana na Ngoma na Mukwala Libya

Klabu ya Simba SC imethibitisha kwamba mshambuliaji wake, Kibu Dennis, hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo, akihitimisha utumishi wake wa misimu minne na nusu akiwa na Wekundu wa Msimbazi. Kibu ‘Mkandaji’, ambaye alijiunga na Simba SC miaka kadhaa iliyopita, anaripotiwa kujiunga na klabu ya Al Nasr Benghazi nchini Libya, na kutambulishwa hivi karibuni kama…

Read More

Jumatano Ya Meridianbet Kujazwa Ladha ya Ushindi Na Zawadi Kibao

Nani alisema katikati ya wiki hakuna burudani? Meridianbet wameamua kuivunja dhana hiyo kwa kuja na kampeni ya kusisimua ya Jumatano ya Zawadi, inayogeuza kila Jumatano kuwa siku ya matumaini na bahati. Kuanzia Jumatano hadi Jumanne, kila mchezaji anayekata tiketi yenye mechi tatu au zaidi anajikuta tayari yupo kwenye mbio za kushinda zawadi. Kinachoifanya Jumatano iwe…

Read More

Singida Black Stars Wasukumizwa Nje ya CAFCC Baada ya Kifungwa 1-0 na CR Belouizdad

Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) wamesukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Sead Ramovic na vijana wake wa CR Belouizdad katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar kwenye mchezo wa kundi C wa CAFCC. 𝐅𝐓: 𝐒𝐢𝐧𝐠𝐢𝐝𝐚 𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐒𝐭𝐚𝐫𝐬 🇹🇿 𝟎-𝟏 🇩🇿 𝐂𝐑 𝐁𝐞𝐥𝐨𝐮𝐢𝐳𝐝𝐚𝐝 ⚽ 03’ Belhocini 𝑀𝑆𝐼𝑀𝐴𝑀𝑂…

Read More

TP Mazembe Yapigwa Marufuku ya Kusajili na FIFA

TP Mazembe, moja ya vilabu vya kandanda vilivyopambwa na ushawishi mkubwa barani Afrika, imepigwa marufuku ya kusajili mara moja na FIFA, uamuzi ambao umeleta mshtuko. Adhabu hiyo ina maana kwamba wababe hao wa Congo wamezuiwa kusajili wachezaji wapya hadi taarifa nyingine itakapotolewa, hivyo basi kusimamisha shughuli zao za uhamisho. Marufuku hiyo ni sehemu ya hatua…

Read More