
AFYA YA WACHEZAJI NI MUHIMU, WACHEZAJI LINDANENI
KAZI kubwa kwenye Ligi Kuu Bara imezidi kuonekana ambapo wachezaji wameonekana wakifanya kweli kwenye kutimiza majukumu yao. Hili ni muhimu kuendelea kwenye kila mchezo jambo ambalo litaongeza umakini kwenye msako wa pointi tatu. Tunaona namna ambavyo kila timu inapambana kutimiza majukumu yake. Kwa wachezaji jukumu lenu ambalo mmepewa ni kutafuta ushindi na suala la kuumizana…