HAJI MANARA NA INJINIA WAITWA KWENYE KAMATI YA MAADILI
KITENDO cha kuibuka Uwanja wa Mkapa,Agosti 6,2022 na kuwatambulisha wachezaji, Haji Manara aliyekuwa msemaji wa Yanga akiwa kifungoni kimemrejesha kwa mara nyingine Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Ikumbukwa kwamba Manara alifungiwa miaka miwili na hakupaswa kushughulika na masuala ya mpira kwa muda huo. Pia Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said naye…