SIMBA WAMEPANIA, YASHUSHA WINGA MKENYA DAR
JANA asubuhi sana Simba ilimshusha winga wa kimataifa raia wa Kenya, Harrison Mwendwa kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kumsajili kuelekea katika msimu ujao. Simba tayari imefanikisha usajili wa kimyakimya wa wachezaji wanne pekee ambao ni Mzambia, Moses Phiri aliyetambulishwa tayari wengine Mnigeria Victor Akpan, Mghana Augustine Okrah na Nassoro Kapama. Timu hiyo inaendelea kufanya…