SIMULIZI YA MUME ALIYEKUWA NA TABIA ZA KERO
SIMULIZI ya mume ambaye alikuwa na tabia zilizomkera mkewe Ndoa yangu na mume wangu ilikua yenye kutamaniwa na wengi. Tuliishi mjini katika makao ya wafanyakazi wa Serikali ambapo mume wangu alikua mhasibu katika Serikali ya kauti ya Mombasa. Nilifanya kazi ya ususi mjini Mombasa ambapo nilikuwa na duka la kuuza bidhaa mbalimbali za kutia nakshi…