
TASHOKA YATEKELEZA KWA VITENDO YALIPO KWENYE KALENDA
CHAMA cha Mchezo wa Karate Tanzania (TASHOKA) kinaendelea kutekeleza kwa vitendo matukio katika kalenda yake ya Mwaka 2022 iliyoitoa hivi karibuni. Kwa mujibu wa Kalenda hiyo Kuanzia Februari 12 mpaka April 16 mwaka huu kunafanyika semina elekezi kwa wakufunzi wote wa vilabu Vya Tashoka pia kunafanyika kozi ya urefa wa Karate Grade D,C na B….