
HOROYA AC, RAJA CASABLANCA ZAMGOMBEA PABLO
HOROYA AC ya Guinea, imeweka ofa nzuri kumpata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania ambaye alisitishiwa mkataba wake hivi karibuni. Mara baada ya Simba kutangaza kumsitishia mkataba kocha huyo, tetesi nyingi zilizagaa za kuhitajika na baadhi ya klabu kubwa Afrika ikiwemo Amazulu FC ya Afrika Kusini. Wakala wa kocha huyo, Edgar…