
NAPOLI WAICHAPA LIVERPOOL 4G
USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umewapa furaha Napoli wakiwa Uwanja wa Diego Armando Maradona kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Liverpool. Ni mchezo wa kwanza kwa Kundi A ambapo Liverpool hawajaamini ambacho wamekiona licha ya kupewa nafasi kubwa ya kuweza kupata ushindi kwenye mchezo huo. Mabao ya Napoli inayoongoza kundi ikiwa na pointi…