
MSHAMBULIAJI HUYU KUMALIZANA NA SIMBA
HUYU hapa mwamba amemalizana na Simba kwa ajili ya kuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23
HUYU hapa mwamba amemalizana na Simba kwa ajili ya kuwa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa unasubiri ripoti ya benchi la ufundi ili kufanikisha mpango wa kusajili wachezaji wapya. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa wiki ijayo ambapo timu hupewa muda wa kuboresha nafasi ambazo wataona zinahitaji kuongezewa nguvu. Miongoni mwa wanaosakwa ndani ya Mtibwa Sugar ni kwenye eneo la ushambuliaji pamoja na…
NGOMA imekamilika Uwanja wa Majaliwa ubao ukisoma Namungo 0-2 Yanga ambapo wenyeji wamekwama kutamba mbele ya wageni. Namungo walizidiwa ujanja kipindi cha kwanza kutokana na makosa ya kipa Jonathan Nahimana kwenye kuokoa pigo la faulo ya Aziz KI iliyokutana na Yannick Bangala dakika ya 40. Bao la pili, Nahimana katika harakati za kuokoa shuti la…
KWENYE timu ambazo zimefunga kwa rekodi matata ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 huwezi kuiweka kando Azam FC. Licha ya mechi zake kuwa na ushindani mkubwa pamoja na adhabu kwa baadhi ya wachezaji kama ilivyotokea mchezo wa Azam FC 3-2 Coastal Union bado boli inatembea. Ni Ayoub Lyanga huyu ni mtambo wa mabao…
JONATHAN Nahimana kosa moja alilofanya dakika ya 40 limekuwa ni faida kwa Yanga ambao walimtungua bao wakati huo. Ni kazi ya Yannick Bangala ambaye alimaliza mpira uliotemwa na kipa huyo wakati akiokoa pigo la faulo iliyopigwa na Aziz KI. Namungo wanacheza mchezo wa kujilinda wakiwa Uwanja wa Majaliwa kwenye mchezo wa leo. Wamekamilisha dakika 45…
JIMMY Kindoki afungukia kuhusu kupigwa usajili wa Aziz KI ndani ya kikosi cha Yanga
NELSON Okwa kiungo wa Simba amerejea kwenye kikosi na kuanza mazoezi na wachezaji wenzake wa timu hiyo. Okwa ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba hajawa kwenye mwendo mzuri kwa kwa hakuwa fiti. Okwa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la nyonga kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda. Hakuwa kwenye mchezo uiopita wa…
BAO la kiungo wa Yanga, Feisal Salum dakika ya 89 limebutua fuko la shilingi milioni 20 ambazo waliahidiwa wachezaji wa Prisons kubeba ikiwa watashinda mchezo huo na kama wangeambulia sare milioni 10. Ahadi hiyo ilitolewa na Ofisa Masoko wa Kampuni ya Silent Ocean, Mohamed Kamilagwa ikumbukwe kwamba hao ni wadhamini wakuu wa Tanzania Prisons. Desemba…
TIMU ya Taifa ya Morocco imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwenye historia baada ya kushinda katika hatua ya 16 hatua bora kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Hispania, Qatar 2022. Matokeo haya yanamaanisha kwamba Morocco ambayo ni timu pekee kutoka Afrika iliyobaki kwenye mashindano…
Uongozi wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22, George Mpole umemalizika na kwamba makubaliano ya pande zote mbili yamefikiwa kuwa Mpole yupo huru kujiunga na klabu nyingine kuanzia leo Disemba 7 2022. Geita Gold inamshukuru Mpole kwa kazi, ushirikiano na utendaji mzuri…
LEO Uwanja wa Majaliwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Namungo v Yanga unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku. Timu hizo zimekutana mara sita ambapo ni mchezo mmoja Yanga ilisepa na ushindi Uwanja wa Mkapa na mechi tano waligawana pointi mojamoja. Hizi hapa rekodi zao walipokutana kwenye msako wa pointi tatu namna hii:- Rekodi za…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Hispania Luis Enrique ameweka wazi kuwa ubora wa kipa wa Timu ya Taifa ya Morocco ulikuwa mkubwa jambo ambalo lilimfanya afikirie kumbadilisha. Hispania walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kupata ushindi lakini mambo yakawa tofauti walikwama kupata ushindi baada ya Morocco kushinda kwa penalti 3-0 Hispania ambao walikosa penalti…
TIMU ya Taifa ya Ureno imetembeza dozi kwa wapinzani wao kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Dunia Qatar. Bila ya uwepo wa Cristiano Ronaldo ambaye alianzia benchi na mbadala wake Goncalo Ramos kwenye mchezo wa kuwania kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Dunia mpira ulitembea. Ushindi wa mabao 6-1 walioupata dhidi…
YANGA imewapigia simu washambuliaji wawili kuelekea kwenye usajili wa dirisha dogo
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa atamtumia kiungo wake mgumu kwenye mechi za ligi kwa kuwa adhabu yake itakuwa imegota mwisho. Kanoute alionyeshwa kadi mbili za njano mbele ya Coastal Union, Desemba 3,2022 ubao uliposoma Coastal Union 0-3 Simba ile ya kwanza alionyeshwa dakika ya 40 na ya pili alionyeshwa dakika ya 90….
Sloti Ya Titan Dice Anza siku yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Nafasi ya kuweka siku yako kuwa bomba kwa kuchangamkia bonasi na ushindi mkubwa kupitia Meridianbet. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu. Kihistoria, mchezo huu ulianzia China. Waandaaji wa kisasa, Expanse…
KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Ruagwa, Lindi kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Desemba 5,2022 kikosi kilisepa Dar na kuibukia Mtwara kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo huo. Yanga inatarajiwa kumenyana na Namungo ukiwa ni mchezo wa kufungia mzunguko wa kwanza 2022/23 mpaka sasa…