KAPOMBE:MASHABIKI WAJITOKEZE KUTUPA SAPOTI
SHOMARI Kapombe, nahodha msaidizi wa Simba amewaomba mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kesho kushuhudia mchezo wao dhidi ya Geita Gold. Simba inaingia uwanjani kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ikiwa imetoka kutunguliwa mabao 2-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Beki huyo ambaye hakucheza…