
GSM YAMALIZANA NA KIUNGO FUNDI, MAMBO MAWILI YAMUONDOA BARBARA SIMBA
GSM yamalizana na kiungo fundi, mambo mawili yamuondoa Barbara Simba, ndani ya Spoti Xtra Jumapil
GSM yamalizana na kiungo fundi, mambo mawili yamuondoa Barbara Simba, ndani ya Spoti Xtra Jumapil
MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia Ufaransa wamekata tiketi ya kushiriki hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England. Mabao ya Aurelien Tchouameni dakika ya 17 na lilela ushindi lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 78. Ni nahodha wa Timu ya Taifa ya England, Harry Kane hakuamini macho yake baada…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefurahia kupata ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Eagle kwenye mchezo wa hatua ya raundi ya Pili Kombe la Azam Sports Federation ikiwa ni mwanzo wa maandalizi ya hatua inayofuata. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amweka wazi kuwa ni kweli Mtendaji wa…
MASHABIKI Yanga waigomea Simba kumsajili Manzoki
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi Kombe Mabingwa wa 3rd TFF Media Day Bonanza 2022 Uhuru Media na kuweka wazi kuwa wakati ujao kutakuwa na maboresho zaidi. Uhuru Media imepata ushindi huo kwa kuwatungua bao 1-0 Online Media kwenye Bonanza ambalo limefanyika Uwanja wa Gwambina. Moja ya fainali iliyokuwa…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wake Eagle kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho yapo tayari. Hawa ni Wajeda wanakabiliana na Simba ambayo iliukosa ubingwa huo mwaka jana 2021 na mabingwa walikuwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Simba haijawa na mwendo…
ISHU ya kiungo Mganda kugomea mkataba Yanga ipo hivi
MCHEZO wa Raundi ya Pili, Azam Sports Federation, Desemba 9,2022 ikiwa ni siku ya kumbukizi ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania ni mabao 9, Azam FC walipata. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 9-0 Malimao FC. Ilikuwa mwendo wamojamoja kwa watupiaji wa Azam FC ikiwa ni pamoja…
MWAMBA Emiliano Martinez kipa wa Timu ya Taifa ya Argentina aliokoa penalti mbili kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni ile iliyopigwa na beki kitasa wa Timu ya Taifa ya Uswisi Virgil van Dijk na Berghuis, jambo lililowapa mlima mzito kuweza kutusua kwenye hatua hiyo. Argentina ya Lionel Messi inatinga hatua ya nusu fainali…
Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi kumiliki vitu wanavyovitaka, kwa kulitambua hili kampuni ya Meridianbet waliamua kurahisha mipango yako, kwenye promosheni ya shinda TV ukibeti na kitochi. Ilichukua siku kadhaa mpaka kumpata Bingwa wa kubeti na kitochi mwanafamilia wa Meridianbet anayejulikana…
KUNA wakati unakuwa juu kutokana na furaha kisha unashuka chini kutokana na huzuni, haya ni maisha na yametokea kwenye mchezo wa kuwania kutinga hatua ya nusu fainali, Brazil 1-1 Croatia. Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil Neymar alikuwa na furaha kwa muda baada ya kutupia bao na ngoma iliporudishwa kisha wakatolewa kwenye hatua ya…
JEMBE aichambua Simba ya zamani, rekodi bado haijavunjwa
MECHI za hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia zinatarajiwa kuanza kazi leo Ijumaa ambapo miamba wa soka Ulaya na Amerika Kusini inatarajia kupambana. Mechi ya mapema zaidi leo Ijumaa inatarajiwa kuwa kati ya Croatia dhidi ya Brazil majira ya saa 12:00 jioni kwa Bongo halafu baadaye Uholanzi wakimenyana na Argentina saa…
SALEH Jemba amvaa kipa Namungo,amewafungisha, aichambua Yanga
EDNA Lema aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Princess mchezo wake wa kwanza akiwa nyumbani alipoteza mchezo huo na maneno yake ya mwisho aliweka wazi kuwa mpango kazi uligoma. Desemba 8,2022 mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Uhuru na siku hiyohiyo, Lema na Mohamed Hussein walifungashiwa virago.
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Azam Sports Federation leo dhidi ya Malimao. Huu ni mchezo wa raundi ya Pili ambapo Azam FC itakuwa mwenyeji kwenye mchezo wa leo Desemba 9 2022 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Ongala amebainisha kuwa…
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Timu ya Taifa ya Ureno amesisitiza kwamba timu hiyo ina muunganiko mkubwa huku kukiwa na nguvu kutoka nje zinazotaka kukivunja kikosi hicho. Nyota huyo ameweka wazi kuwa nguvu hizo hazitaweza huku ikitajwa kwamba nyota huyo yupo tayari kusepa kabla ya mashindano ya Kombe la Dunia, Qatar,2022. Ronaldo mwenye miaka 37 alijiunga…