Home Sports KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA SIMBA

KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA SIMBA

KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala leo kinakazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Simba.

Ongala alikiongoza kikosi hicho kwenye mzunguko wa kwanza kuitungua Simba na kusepa na pointi tatu mazima.

Hiki hapa kikosi cha Azam FC dhidi ya Simba:- Idrissu Abdulai, Lusajo Mwaikenda, Nathaniel Chilambo,Daniel Amoah,Abdalah Kheri, Isah Ndala, Sospeter Bajana,Abdul Suleiman,’Sopu’,Dube,James Akaminko, Kipre Junior

Previous articleKIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AZAM FC UWANJA WA MKAPA
Next articleSIMBA 0-1 AZAM FC