Saleh

ROBERTINHO: SAIDO KARUDI, RAJA HAWATOKI

KOCHA wa Simba, Mbrazil Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa, watakuja kuzifunga timu zote kwenye Uwanja wa Mkapa wakianza na Raja Casablanca kwa kuwa wachezaji wake muhimu akiwemo Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ watakuwa fiti. Robertinho ameweka wazi kuwa, kilichowafanya wafungwe kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya wakiwa ugenini ni kukosa bahati…

Read More

KOCHA MAZEMBE AINGIA MCHECHETO

KOCHA Mkuu wa TP Mazembe mwenye uraia wa Ufaransa, Franck Dumas amesema kuwa ubora wa wachezji wa Yanga kama Aziz Ki na Fiston Mayele ni sababu ya wao kuwa siriazi ili kupata matokeo. TP Mazembe wanatarajiwa kucheza na Yanga Jumapili katika Uwanja wa Mkapa ukiwa ndio mchezo wao wa kwanza ugenini mara baada ya kuanza…

Read More

GUARDIOLA AWANYOOSHA ARSENAL

KOCHA Mkuu wa Manchester City amekiongoza kikosi hicho kusepa na ushindi mbele ya Arsenal.  Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England licha ya kwamba walikuwa ugenini waliwashushia kichapo wenyeji wao na kusepa na pointi tatu mazima Februari 15,2023 na kuongoza ligi. Baada ya zile dakika 90 za jasho ubao wa Uwanja wa Emirates pale kwa washika…

Read More

YANGA MACHO YOTE KWA TP MAZEMBE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo wao wa Jumapili dhidi ya TP Mazembe huku yale yaliyotokea Tunisia wakiyaweka kando. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ilishuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga kwenye mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Jana msafara wa…

Read More

MALENGO YA SIMBA KIMATAIFA YAPO HIVI

UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ni kupata ushindi. Ni Februari 18,2023 Simba ina kazi nzito ya kusaka ushindi dhidi ya vigogo Raja ambao wanaongoza kundi C wakiwa wametoka kuwatungua Vipers mabao 5-0. Leo Februari 15,2023 Simba imefanya uzinduzi wa kampeni…

Read More

FEISAL NYOTA WA YANGA APATA AJALI

IMEELEZWA nyota wa Yanga Feisal Salum amepata ajali lakini yupo salama huko visiwani Zanzibar baada ya kugongana na bodaboda. Nyota huyo kwa sasa yupo Zanzibar baada ya kuwa kwenye sakata la mvutano na mabosi wake wa Yanga. Yanga wao wanahitaji mchezaji arejee ndani ya kikosi hicho kwa kuwa bado ana mkataba huku mchezaji akihitaji kuondoka.

Read More

AZAM FC KUSHUKA UWANJANI NA MABINGWA

FEBRUARI 14 2023 kikosi cha Azam FC kilifanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuwakabili mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2023 leo Februari 15,2023. Mlandege ambao waliwashangaza mabingwa watetezi Simba pamoja na watani zao wa jadi Yanga kushuhudia wakitwaa ubingwa leo wanakibarua cha kumenyana na Azam FC. Ni mchezo wa kirafiki ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…

Read More

ZIGO ZITO WAPEWA MANULA, BOCCO, CHAMA

MASTAA wa Simba ikiwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama,Aishi Manula, Pape Sakho, Shomary Kapombe wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapambana kupata matokeo kwenye mechi zote za hatua ya makundi. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akishirikiana na Juma Mgunda ilianza kwa kuambulia kichapo ugenini ubao uliposoma Horoya 1-0 Simba mchezo wa Ligi…

Read More

SHIKENI UKWELI,MECHI ZIJAZO NI NGUMU KWA SIMBA NA YANGA

Anaandika Jembe SIMBA na Yanga zimepoteza mechi za kwanza za ugenini kimataifa. Tukubali timu zetu zilijiandaa lakini Caf CL na Caf CC si lelemama, si sehemu ya maneno mengi na kupeana moyo tu…NI MAPAMABO HALISI… Simba wamefungwa na Horoya wanayoizidi kwenye ubora wa Rank za Caf, hali kadhalika Yanga kwa Monastir. Sasa nyumbani wanakwenda kukutana…

Read More

HILI KUBWA LA M 5, MSIMBAZI WATOA SHUKRANI

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuweka wazi kuwa atanunua bao la timu za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kwa milioni 5, uongozi wa Simba umetoa shukrani za dhati kwa jambo hilo. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa jambo hilo ni kubwa…

Read More