LEGEND kwenye uandishi wa masuala ya michezo Bongo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amefungukia kuhusu viongozi wa Yanga pamoja na nyota wa Yanga.
Miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuondoka ni Djigui Diarra, Yannick Bangala na Fiston Mayele mshambuliaji namba moja wa Yanga
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)