YANGA WANA JAMBO KUBWA LA MTIKISIKO
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unakuja mtikisiko kwenye suala la usajili kutokana na mipango makini waliyonayo. Chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi msimu wa 2022/23 Yanga ilikomba mataji yote ya ndani ikiwa ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Azam Sports Federation. Katika anga la kimataifa Yanga safari yao kwenye Kombe la Shirikisho…