Friday, April 26, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7701 POSTS 0 COMMENTS

VIDEO;INASIKITISHA, MWAKINYO ASIMULIA FITINA ALIZOFANYIWA

0
BONDIA Hassan Mwakinyo amesimulia fitina ambazo amefanyiwa nchini Uingereza kwenye pambano ambalo amecheza na kupoteza kwa TKO

VIDEO:ISSA AZAM WA ASEMA MAYELE ALIOMBA KUCHEZA SIMBA

0
ISSA Azam shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele aliomba kusajiliwa Simba akaambiwa hawezi kucheza huko

LIVERPOOL MWENDO WAKE MGUMU

0
LICHA ya kuwa na mastaa wake wote ndani ya kikosi cha Liverpool ikiwa ni Mohamed Salah, Roberto Firmino, Virgil Van Djik waliambulia pointi moja...

VIDEO:MWAKINYO ABAINISHA ALIIBIWA BEGI

0
BONDIA Hassan Mwakinyo, Mtanzania ambaye ampeteza kwa kupigwa TKO nchini Uingerza amebainisha kuwa aliibiwa begi lake jambo lililofanya apewe viatu tofauti kwenye pambano lake...

KOCHA MAN U AKIRI ARSENAL NI WAGUMU

0
 ERIC ten Hag, Kocha Mkuu wa Manchester United ameweka wazi kuwa atakabiliana na wapnzani wao Arsenal ambao ni kipimo sahihi kwake kutokana na ubora...

KOCHA NABI AMUONYA KISINDA,ZORAN ABAKI NJIA PANDA SIMBA

0
KOCHA Nabi amuonya Kisinda, Zoran Maki abaki njia panda Simba ndani ya Spoti Xtra, Jumapili

MWAKINYO ATAJA SABABU ZA KUPIGWA TKO

0
BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo ameomba msamaha kwa kushindwa dhidi ya mpinzani wake  Liam Smith ambalo  lilifanyika jijini Liverpool nchini Uingereza na Mwakinyo kushindwa kwa...

ORODHA YA MASTAA KUTOKA DR CONGO YATAWALA BONGO

0
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23 imeanza kwa ushindani mkubwa huku kila timu zikikamilisha usajili wao kwa kile ambacho walikuwa wanahitaji. Nyota wapya wakigeni...

VIDEO:SHABIKI SIMBA AWAZUNGUMZIA INONGA,BANGALA,MZUNGU

0
SIMBA imenyooshwa bao 1-0 dhidi ya Arta Solar kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru,shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kila mchezaji anatimiza...

TAIFA STARS YAFUNGASHIWA VIRAGO CHAN

0
MWENDO wa kuwania kufuzu CHAN kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars umegotea Uganda baada ya kufungwa mabao 3-0 na kufanya itolewe kwa...

KIKOSI CHA STARS KITAKACHOANZA DHIDI YA UGANDA

0
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda, leo Septemba 3...

SIMBA YAPOTEZA MCHEZO WA KIMATAIFA

0
KIKOSI cha Simba leo kimepoteza mchezo wa kirafiki kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Arta Solar uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Bao pekee la ushindi kwa...

HII NI WIKI YA DERBY, DABIKA NA MERIDIANBET NA USHINDE MIHELA

0
Mechi ni nyingi lakini kubwa kuliko ni Milan Dabi na London Dabi zote zitapigwa hii leo, nafasi ni yako ya kubashiri ukiwa na meridianbet.   Epl...

KISINDA ATAJA SABABU ZA KUREJEA NDANI YA YANGA

0
TUISILA Kisinda kiungo wa Yanga ameweka wazi kuwa amereja kwa mara nyingine kufanya kazi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Winga...

TAIFA STARS KAZI KUBWA IFANYIKE KUSAKA USHINDI

0
BADO kazi haijaisha kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ambao leo wanatarajiwa kutupa kete ya pili kwenye mchezo wao wa...

MWAKINYO KUPANDA ULINGONI LEO

0
BONDIA kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo leo Septemba 3,2022 anatarajiwa kupanda ulingoni kuzichapa kwenye pambano la raundi 12.  Jana Septemba 2, Mwakinyo aliweza kupima uzito huko...

MAUJUZI YA CHAMA, SAKHO KUWAONA NI BURE KABISA

0
BAADA ya mechi mbili za kirafiki nchini Sudan, leo Septemba 3,2022 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki kitamenyana na Arta Solar...