
DUBE MWAMBA KWELIKWELI UJUE
MWAMBA huyu hapa ukimuona tu uwanjani lazima kipa wa timu pinzani ajue leo kazi ninayo. Anaitwa Prince Dube mpeleka maumivu kwa Simba kwenye mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara akiwa anashikilia rekodi ya kufunga bao la mapema zaidi mbele ya Simba. Mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Azam 1-0 Simba mtungaji…