Friday, March 29, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7528 POSTS 0 COMMENTS

MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 KAGERA SUGAR

0
MOSES Phiri amefunga bao la kuongoza kwa Simba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar dk ya 42 kwa pigo la kichwa baada ya nyota...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA KAGERA SUGAR

0
KIKOSI cha Simba ambacho kitaanza kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa kipo namna hii:- Manula Mohamed Hussein Shomari...

MAYELE ATETEMA KWA MARA NYINGINE YANGA IKISHINDA

0
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa...

SIMBA QUEENS WASHINDA KIMATAIFA

0
UBAO wa Uwanja wa Mkapa, baada ya dakika 90 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, Simba imefanikiwa kutinga hatua...

GWIJI SUAREZ AMPA NENO NUNEZ

0
 GWIJI wa Liverpool, Luis Suarez, amemuonya Mruguay mwenzake, Darwin Nunez kujifunza kutoka kwenye makosa yake baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumpiga...

CASEMIRO HUYO MAN UNITED

0
MANCHESTER United imekubaliana na Real Madrid dili la kumsajili kiungo Casemiro kwa pauni milioni 60. Tayari pande zote zimeshakubaliana huku United pia ikiwa imeshakubaliana na...

VIDEO:WATATU WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION LEO

0
YANGA leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,...

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO

0
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Agosti 20,2022 ambapo kuna mechi nne zitachezwa kusaka pointi tatu muhimu. Ikumbukwa kwama jana Agosti 19 ulichezwa mchezo mmoja,...

FILAMU YA MANZOKI,MASTAA WATATU YANGA KUIKOSA COASTAL UNION

0
 FILAMU ya Manzoki, Simba, Yanga, mastaa watatu Yanga kuikosa Coastal Union leo, ndani ya Championi Jumamosi

SAUTI:SIMBA WAUKUBALI MUZIKI WA YANGA

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa muziki ambao walikutana nao ule wa Yanga kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ulikuwa mkubwa hasa kipindi cha...

NABI KUIKABILI COASTAL UNION, AKIRI KUTUMIA NGUVU KWA POLISI

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema walitumia nguvu nyingi kwenye msako wa pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania hivyo wanajipanga kwa ajili ya...

NAMUNGO YASHINDA MBELE YA IHEFU, LUSAJO KAMA KAWA

0
MCHEZO pekee wa Ligi Kuu Bara ambao umechezwa leo Agosti 19,2022 Uwanja wa Uhuru dakika 90 ubao umeseoma Ihefu 0-1 Namungo FC. Huu unakuwa mchezo...

VIDEO:JONAS MKUDE,MANULA,JOB,LUSAJO NDANI YA TAIFA STARS

0
KIM Poulsen Kocha Mkuu wa timu ya Taifa amesema kuwa hakuna muda wa kucheza mechi za kirafiki za kimataifa kwa kuwa hawana muda wa...

SAUTI:ISHU YA MANZOKI KUIBUKA SIMBA MAPYA YAIBUKA

0
SUALA la Cesor Manzonki kuibuka ndani ya Simba mapya yameibuk baada ya uongozi wa Simba kubainisha kuwa hawana mpango wa kumsajili kutokana na mvutan...

YANGA YAINGIA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA JACKSON GROUP

0
KLABU ya Yanga leo Agosti 19,2022 imeingia makualiano na Kampuni ya Masoko iitwayo Jackson Group. Kwa mujibu wa rais wa Yanga,  Hersi Ally Said amesema...

KILA MTU ANA NAFASI YA KUSHINDA JACKPOT MERIDIANBET, UNAFAHAMU JACKPOT NI...

0
Kwa mpenzi wa kubashiri mtandaoni, bila shaka hili ni jambo unalolitazama kwa jicho la tatu, Jackpoti zimekuwa ni kivutio cha wataalamu na wapenzi wengi...

MBINU YA SIMBA KUTWAA UBINGWA IPO HIVI

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utapambana kuhakikisha unapata pointi nyingi mzunguko wa kwanza ili kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa. Kwa sasa mabingwa watetezi...