
VIDEO:JEMBE AUVAA UONGOZI SIMBA/ISHU YA USAJILI/BILIONI 20
LEGEND kwenye uandishi wa habari za michezo Saleh Ally ameweka wazi kuhusu thamani ya uwekezaji kwa timu za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Yanga, Simba kwenye upande wa bajeti zao. Jembe amezungumzia kuhusu namna hali halisi ilivyo kwenye ligi pamoja na maendeleo ya soka la Tanzania. Ipo wazi kuwa kwa msimu wa 2022/23…