YANGA 0-0 GALLANTS MARUMO
HATUA ya nusu fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa, ubao unasoma Yanga 0-0 Marumo Gallants. Dakika 45 za nguvu kwa Yanga ambao wanapambania kutinga hatua ya nusu fainali. Kwenye upande wa viungo na ushambuliaji kazi kubwa inafanywa na Aziz KI, Tuisila Kisinda ambaye amekosa kwa kiasi fulani utulivu kutengeneza mashambulizi kwa Fiston Mayele. Mayele anaonyesha…