
MZEE WA KUCHETUA AIVURUGA SIMBA
BERNARD Morrison kiungo wa Yanga ameivuruga rekodi yake aliyoiweka akiwa ndani ya Simba kwa kuandika rekodi nyingine ndani ya Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha kuwa Morrison alipokuwa ndani ya Simba alipogotea kwenye dakika 699 alifunga bao moja na kutengeneza pasi mbili za mabao huku akiwa ndani ya Yanga akiwa amepukutusha dakika 692 katupia mabao matatu…