Saleh

NTIBANZOKIZA ATWAA TUZO YAKE

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza ametwaa tuzo ya mchezaji bora chaguo la mashabiki. Nyota huyo ni mchezaji bora kwa Mei baada ya kuwashinda washkaji zake wawili alioingia nao fainali. Ni Shomari Kapombe na Hennoc Inonga ambao hawa ni wataalamu kwenye eneo la ulinzi. Ntibanzokiza ndani ya Mei kwenye mechi mbili katupia jumla ya mabao…

Read More

AZAM FC 0-1 YANGA

KENNEDY Musonda nyota wa Yanga amepachika bao la kuongoza kwa Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Azam FC. Dakika ya 14 bao hilo limepachikwa na raia huyo wa Zambia ambaye aliwazidi ujanja mabeki wa Azam FC na kuandika bao kwa Yanga. Uwanja wa Mkwakwani mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa…

Read More

SIMBA WAIFUNIKA YANGA, AZAM FC

MASTAA wa Simba wamewafunika watani zao wa jadi Yanga kwenye idadi ya hat trick ambazo wamefunga ndani ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Azam FC. Msimu wa 2022/23 ni mastaa saba walifunga hat trick huku ikiwa ni watatu kutoka Simba, wawili kutoka Yanga  mmoja ni mali ya Namungo inayotumia Uwanja wa Majaliwa na…

Read More

NTIBANZOKIZA NA TUZO MKONONI, MABAO SABABU

MKONONI ana tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi Mei baada ya kuwashinda nyota wawili alioingia nao fainali. Nyota huyo ni shuhuda wa watani zao wa jadi Yanga wakisepa na taji la ligi kwa msimu wa 2022/23 wakiwa na tofauti ya pointi tano. Anaitwa Saido Ntibanzokiza kiungo mshambuliaji wa Simba ambaye alitupia…

Read More

WAKALI WA KUTENGENEZA PASI ZA MWISHO BONGO

WAKALI ni wakali tu iwe ni mwanzo ama mwisho wanakiwasha na msimu wa 2022/23 umeshuhudia wengi kwenye kila sekta. Kwenye mwendo wa data tuna wakali wa kutengeneza pasi za mwisho namna hii:- Clatous Chama pasi 14 Kinara kwa kutengeneza pasi za mwisho Bongo ndani ya Ligi Kuu Bara ni Clatous Chama yupo zake ndani ya…

Read More

CITY MABINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

UEFA Champions League mkononi kwa ushindi wa bao la Rodri dakika ya 68 dhidi ya Inter Milan Uwanja wa Ataturk Olympic. Katika mchezo huo Kocha Mkuu wa City Pep Guardiola alishuhudia vijana wake wàkipiga kona mbili na wapinzani wao Kona nne. Jumla zilipigwa pasi 512 kwa City na 394 kwa Inter ambao wapipiga mashuti sita…

Read More

WATATU WAPENYA TUZO SIMBA, SAIDO NDANI

KWENYE orodha ya Wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Mei, 2023 kiungo mshambuliaji Saido Ntibanzokiza jina lake limepenya. Ntibanzokiza anapambania tuzo hiyo akiwa kiungo peke yake huku wawili wakiwa ni mabeki wa kazikazi ndani ya Simba. Nyota huyo kafunga msimu akiwa ametupia mabao…

Read More

DUBE KAFUNGA KIBABE BONGO

WAKATI msimu wa 2022/23 ukifungwa mwamba Prince Dube kafunga kwa rekodi ya kusepa na mpira wake wa kwanza msimu huu kwenye ligi. Dube ambaye anatarajiwa kuwa miongoni mwa nyota watakaocheza fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Yanga alifunga mabao manne peke yake. Juni 12 Azam FC inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye fainali Uwanja wa…

Read More

MABINGWA NDANI YA DAR NA KOMBE

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 Yanga leo Juni 10, 2022 wameandaa paredi la ubingwa wao. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Sokoine ukisoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga. Mabao ya Yanga ni mali ya Fiston Mayele mwenye mabao 17 pamoja na Yannick Bangala ambaye naye alitupia…

Read More

MAANDALIZI YA MSIMU MPYA YAANZE MAPEMA

BAADA ya kusimama kwa muda kupisha ratiba ya mashindano ya kimataifa, Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2022/23 ilirejea rasmi Juni 6 Jumanne kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja mbalimbali nchini. Kufuatia matokeo ya Juni 6 kila mmoja alianza kuona picha kamili baada ya kesi ya ubingwa kufungwa mapema na Yanga kufanikisha malengo yao. Yanga…

Read More

YANGA WASEPA NA UBINGWA WAO WA LIGI KUU BARA

YANGA wamesepa na ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 wakiwa na pointi 78. Mchezo wa mwisho kwa msimu huu wameshuhudia ubao wa Uwanja wa Sokoine ukisoma Tanzania Prisons 0-2 Yanga. Ni mabao ya Fiston Mayele wa Yanga dakika ya 33 alipachika bao hilo akitumia pasi ya Sure Boy na bao la pili ni…

Read More

SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION, SAIDO ATUPIA

KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Uhuru huku kikigotea nafasi ya pili vinara ni Yanga. Yanga ni namba moja kwenye msimamo wakiwa wamepata ushindi mbele ya Tanzania Prisons, Mbeya. Simba imekamilisha kazi yake kwa msimu wa 2022/23 ikiwa ni kupitia kwa Saido Ntibanzokiza aliyepachika mabao…

Read More