


COASTAL UNION INAJITAFUTA KIMATAIFA
UONGOZI wa Coastal Union umesema utahakikisha kuwa unafanya vizuri kwenye ligi kuu msimu huu ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao. Mpaka sasa kwenye ligi Coastal Union ipo nafasi ya 10 ina pointi moja baada ya kucheza michezo miwili baada ya kupoteza mchezo mmoja na kutoa sare mchezo mmoja. Timu hiyo iliwahi…

MAXI, PACOME WAITEKA RWANDA,ROERTINHO ASHUSHA NONDO NZITO KWA LUIS
MAX, Pacome waiteka Rwanda, Robertinho ashusha nondo nzito kwa Luis, Onana, Stars yafuzu kibabe Afcon ndani ya Championi Ijumaa

HISTORIA IMEANDIKWA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS KUFUZU AFCON
HISTORIA nyingine imeandikwa baada ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kufuzu mashindano ya Afrika kwa timu za Taifa, (Afcon) yatakayofanyika Ivory Coast, Januari 2024. Baada ya ubao kusoma Algeria 0-0 Tanzania ni pointi 8 wanafikia Tanzania wakiwa nafasi ya pili na Algeria nafasi ya Kwanza pointi 16 zote zimefuzu Afcon. Kama wangepoteza mchezo…

KASI YA LIGI ISIPOE, KAZI JUU YA KAZI
LIGI Kuu Bara ambayo ilianza kwa kasi kutokana na maandalizi ambayo yalifanywa na timu zote. Ni burudani iliyokuwa imekosekana kwa muda na sasa ni msimu mpya. Ipo wazi kuwa kabla ya ligi kusimama mashabiki walipata ile ladha ya mpira waliyoikosa kwa muda. Hakika pongezi kwa wachezaji namna walivyoanza kwa kujituma kusaka ushindi. Muda uliopo kwa…

STARS KAZINI LEO, SARE TU AFCON HII HAPA
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria. Katika mchezo huu wa leo kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrka, (AFCON 2023). Stars inahitaji sare ikiwa kundi G inashika nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kukusanya pointi…

NBC YAZINDUA NEMBO MPYA YA CHAMPIONSHIP
NI Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Septemba 7 imezindua rasmi chapa mpya ya Ligi ya Daraja la Kwanza (championship). Ligi hiyo kwa sasa inafahamika kwa jina la NBC Championship hatua ambayo imekwenda sambamba na uzinduzi wa mashindano hayo ya soka yanayotarajiwa kuanza Septemba 9. Ujio wa…

YANGA KAZI BADO INAENDELEA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kazi bado inaendelea kwenye mechi za kitaifa na kimataifa lengo ikiwa ni kupata matokeo chanya. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi sita na safu ya ushambuliaji imetupia mabao 10. Licha ya kuwapa mazoezi kwenye kambi ya AVIC pia Gamondi aliwapeleka vijana wake ufukweni kuendelea…

WAKATI WA MAPUMZIKO KAZI IENDELEE
WAKATI wa mapumziko wachezaji wengi wamekuwa wakiendelea na maisha ya kawaida nje yay ale waliyokuwa wakiishi walipokuwa kambini ama wakati wa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa. Singida Fountain Gate hawa wapo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Yanga na Simba wakiwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Kazi yao inapaswa kuwa kubwa kupeperusha bendera…
KILA LA KHERI WACHEZAJI WA TAIFA STARS
WACHEZAJI ambao wamepewa kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania katitka timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuna kazi kubwa kubwa ambayo mnapaswa kuifanya kwenye mchezo wa leo. Ukweli ni kwamba Watanzania wanamatumaini makubwa na kazi yenu ambayo haitakuwa nyepesi ndani ya dakika 90 kwa kuwa mpira ni mchezo wa makosa. Kikubwa ambacho kinatakiwa kwenye…

HUYO KRAMO ANA BALAA KWELI HUKO
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa nyota wao Aubin Kramo ana balaa akiwa kwenye uwanja wa mazoezi jambo linaloongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Nyota huyo aliyeibuka Simba akitokea ASEC Mimosas hajaonyesha makeke yake uwanjani kutokana na kusumbuliwa na majeraha alipopata maumivu wakati wa maandalizi ya Ngao ya Jamii, Mkwakwani,…

MAXI APIGWA STOP YANGA, SIMBA SC TUNATOBOA CAF
MAXI apigwa stop Yanga, Simba SC tunatoboa CAF ndani ya Spoti Xtra Jumanne

HIKI HAPA KINACHOMBEBA JEZI NAMBA SABA WA YANGA
NYOTA wa Yanga, Maxi Nzengeli amesema kuwa kinachombeba ndani ya kikosi hicho kuwa kwenye ubora ni ushirikiano ambao anapata kutoka kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi. Ndani ya kikosi cha Yanga yeye anavaa jezi namba saba mgongoni akiwa na uwezo wa kupanda na kushuka kwenye kutimiza majukumu yake. Nzengeli amepenya kikosi cha kwanza chini…

HAWA HAPA WAMEBEBSHWA KAZI NA KOCHA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia wachezaji wake wapya kuwa sasa ni muda wao muafaka wa kuonyesha thamani yao katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba inatarajiwa kuanzia ugenini nchini Zambia dhidi ya Power Dynamos katika hatua ya pili ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo utakaopigwa Septemba 15, mwaka huu. Kikosi…

AKUANZAE MMALIZE, ANGA LA BURUDANI LILIPATWA
MUZIKI unakua na muziki unatanuka na kupaisha mbawa zake kona mbalimbali za Dunia hii. Sio ajabu kumkuta mtu anasikiliza wimbo ambao hajui hata maana yake ila akaufurahia kwa hisia zake zote. Katika muziki wa kufokafoka ‘Hip-Hop’ sio ajabu sana kukuta wasanii wakitupiana maneno au wakivimbiana kwa kitu fulani au jambo fulani. Huyu atasema yeye ni…

UKUBWA WA SIMBA UMESHAFAHAMIKA
INAKUJA African Super League ambayo itashirikisha timu kubwa nane tu za Afrika kutoka katika kila ukanda wa bara hilo. Upande wa Afrika Mashariki, kigogo wa ukanda wetu ni Simba ambao ndio wanawakilisha ukanda wote. Simba ndio timu kubwa na maarufu zaidi katika ukanda wa Cecafa na hasa unapozungumzia masuala yanayohusu Shirikisho la Soka Afrika na…

MWAMBA SKUDU AMPA NGUVU GAMONDI
SKUDU Makudubela ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga limeogeza nguvu katika kikosi hicho kinachoongoza ligi baada ya kukusanya pointi sita na mabao 10. Makudubela hakuwa katika mechi hizo mbili za ligi za ushindani ambazo ni Yanga 5-0 KMC na Yanga 5-0 JKT Tanzania kutokana na kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa…