
MAMBO MAGUMU KWA MBABE WA YANGA
MBABE wa Yanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC, Suleiman Abdallah, (Sopu) mambo kwake ni magumu ndani ya msimu mpya wa 2023/24 kwa kukosa zali la kucheka na nyavu kama ambavyo alianza msimu uliopita. Mechi nne kapata zali la kuanza kikosi cha kwanza ndani ya Azam FC ambazo ni sawa na dakika 360 chini…