Meridianbet Yaungana na TAB Kuwainua Watu Wenye Ulemavu
Katika kuadhimisha dhamira yake ya kujenga jamii jumuishi, Meridianbet Tanzania imefanya ziara maalum katika ofisi za Tanzania Association of the Blind (T.A.B) zilizopo Kinondoni, Dar es Salaam, na kukabidhi msaada wa fimbo za kutembelea kwa watu wenye ulemavu wa kuona. Tukio hilo limeacha alama ya matumaini na mshikamano, likionesha kwa vitendo namna sekta binafsi…