Skip to content
Sunday, November 22, 2026
  • Arsenal Kukiwasha Dhidi ya Newcastle, Man City Kuikaribisha Fulham!
  • Hawa hapa wagombea Simba SC
  • Ratiba ya NBC Premier League leo na matokeo 2026/27
  • Pochettino Kuibuka Kocha Wa Nne Wa Man United Kuifungua Liverpool?

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Arsenal Kukiwasha Dhidi ya Newcastle, Man City Kuikaribisha Fulham!
  • Hawa hapa wagombea Simba SC
  • Ratiba ya NBC Premier League leo na matokeo 2026/27
  • Pochettino Kuibuka Kocha Wa Nne Wa Man United Kuifungua Liverpool?

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • October
  • 6

October 6, 2026

  • Sports

Tanzania U23 yaifunga Kenya 3-1, lakini Kenya yafuzu kwa jumla ya mabao 5-4

Saleh2 months ago01 mins

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 23, Taifa Stars U23, imeifunga Kenya U23 kwa mabao, licha ya ushindi huo, Tanzania imeshindwa kuvuka kutokana na mat 3-1 katika mchezo wa kufuzu AFCON U23. Sheikhan Khamis alifunga bao moja, huku Selemani Mwalimu akifunga mabao mawili na kuisaidia Tanzania kupata ushindi wa 3-1 katika…

Read More
  • International
  • Sports

Leo ni burudani tupu! Mataifa makubwa yashuka dimbani

Saleh2 months ago03 mins

Je unajua leo hii ni siku ya burudani ndani ya dakika 90 za mwamuzi?. Mataifa makubwa Dunia kushuka dimbani kusaka furaha yako leo. Burudika na mechi hizi sasa. UEFA Nations League kule Ulaya bado inarindima ambapo leo hii  Uingereza atakuwa kibaruani dhidi ya Czechia mchezo ambao upo Kundi A, huku vijana wa Thomas Tuchel wakiwa…

Read More
  • International
  • Sports

Mwisho wa safari: Messi kuaga Argentina dhidi ya Benin leo

Saleh2 months ago02 mins

Lionel Messi anatarajiwa kucheza mchezo wake wa mwisho akiwa na timu ya taifa ya Argentina, akitarajiwa kuaga rasmi kikosi hicho katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin utakaochezwa Uwanja wa Monumental jijini Buenos Aires. Mchezo huo utakuwa wa 208 kwa Messi akiwa na Argentina, rekodi inayomfanya kuwa mchezaji aliyeichezea taifa hilo mara nyingi zaidi, sambamba…

Read More
  • Uncategorized

Ufaransa yaichapa Ubelgiji 4-1, Olise afunga mabao mawili

Saleh2 months ago02 mins

PARIS: Ufaransa imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ubelgiji katika Ligi ya Mataifa ya UEFA, baada ya kufunga mabao manne katika dakika 13 za mwisho za mchezo. Ubelgiji ilianza kwa kuongoza kupitia Dodi Lukebakio, aliyefunga baada ya kupokea pasi ndefu kutoka kwa Romeo Lavia na kumshinda mlinda mlango wa Ufaransa, Guillaume Restes, aliyekuwa akicheza…

Read More
  • Sports

Bodi ya Ligi yaweka mikakati mipya kuelekea Derby ya Kariakoo

Saleh2 months ago02 mins

DAR ES SALAAM: Maandalizi ya Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga yameingia hatua nyingine baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kueleza kuwa kifaa maalum cha Gas Detector kitatumika katika Uwanja wa Uhuru kufuatilia hali ya hewa na kubaini uwepo wa gesi au harufu hatarishi. Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania,…

Read More
  • Entertainment

Zungusha Reels, Fuatilia Zawadi Ya Tzs 4,000,000!

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Msisimko wa Casino unaingia kwenye hatua nyingine kupitia Pragmatic Golden Spin Challenge, mashindano maalum yanayokupa nafasi ya kushiriki katika kuwania zawadi ya jumla ya TZS 4,000,000. Mashindano yanaendelea kuanzia tarehe 03 Oktoba hadi 13 Oktoba 2026, hivyo wachezaji wana kipindi maalum cha kujipanga na kushiriki kwa bidii. Hii ni fursa adhimu kwa wapenzi wa slots…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.