Serikali Yatoa Tamko Kuhusu Jezi Mpya Za Timu Za Taifa

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ufafanuzi kuhusu jezi za timu za taifa kufuatia mjadala uliotokana na mchakato wa kuzibadilisha na kuishirikisha Wizara katika maelekezo yaliyotolewa mwezi Februari 2026. Katika taarifa yake ya Septemba 18, 2026, Wizara imesema Serikali inaendelea kuweka fedha nyingi katika maandalizi ya timu za taifa zinazoshiriki mashindano ya kimataifa,…

Read More

Zidane Aanza Rasmi Era Mpya ya Timu ya Taifa ya Ufaransa

KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, Zinédine Zidane, ameanza rasmi ukurasa mpya baada ya kuchukua nafasi ya Didier Deschamps, aliyeondoka madarakani baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka 14. Zidane alithibitishwa na Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) Julai 28, 2026, kwa mkataba wa miaka minne. Zidane amesema wazi kwamba atafanya mambo kwa…

Read More