Pamba Jiji na Dodoma Jiji Wagawana Alama Katika Ufunguzi wa Ligi Kuu
Pamba Jiji na Dodoma Jiji zimeanza msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27 kwa kugawana alama baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi uliochezwa leo, Agosti 14, 2026, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Dodoma Jiji ndiyo ilianza kwa kasi katika mchezo huo na kufanikiwa kupata bao la kuongoza dakika ya…