FIFA Yapinga Kampeni ya Kumng’oa Infantino, Yaita Madai Hayo “Uzushi”
Zurich.Shirikisho la Kimataifa la Soka FIFA limekosoa vikali kile ilichokiita kuwa ni juhudi zinazoendelea za “kulidhoofisha” shirikisho hilo pamoja na Rais wake, Gianni Infantino. Kauli hiyo ya FIFA imekuja baada ya ripoti iliyochapishwa na Daily Telegraph kudai kuwa mwanamke anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Infantino alilipwa fedha za kuachishwa kazi na UEFA baada…