Azam FC Yatambulisha Jezi Mpya za Msimu 2026/27
Klabu ya Azam FC imezindua rasmi jezi zitakazotumika katika msimu wa mashindano wa 2026/27, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea changamoto mpya za msimu ujao Kupitia kurasa rasmi za mtandao wa Instagram, klabu hiyo imewaonyesha mashabiki wake muonekano wa jezi hizo mpya kwa kuchapisha picha na video maalum za utambulisho. Jezi hizo zinatarajiwa kutumika katika…