Mashindano mapya yameingia Meridianbet na safari hii macho yanaelekezwa kwenye Expanse Epic Spins, Epic Rewards, ambapo wachezaji wa kasino wanapewa nafasi ya kushindania zawadi kubwa hadi TSh 1.5 milioni kwa mshindi wa kwanza. Promosheni hii itaendelea hadi Agosti 21, 2026, kupitia michezo maalum ya Expanse iliyopo ndani ya Meridianbet.
Tofauti na kucheza bila ushindani, Expanse inaongeza ladha ya mashindano kupitia jedwali la msimamo liinaloweka wazi mbio za washiriki. Nafasi za wachezaji zitaamuliwa kwa kuangalia jumla ya kiasi walichoweka kama dau kwenye michezo inayoshiriki, huku dau la chini kwa kila mzunguko likiwa TSh 500.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Na sasa kwenye zawadi, kinara wa msimamo atapata TSh 1,500,000, mshindi wa pili TSh 1,000,000, na nafasi ya tatu ikibeba TSh 600,000. Wachezaji watakaomaliza nafasi ya nne na tano hawataondoka mikono mitupu, kwani kila mmoja atapata TSh 450,000 kutoka kwenye jumla ya zawadi hizo kubwa.
Mbio zinaendelea hadi nafasi ya 20, ambapo washindi wa nafasi ya 6 hadi 10 watapata TSh 200,000 kila mmoja, huku nafasi ya 11 hadi 20 zikipewa TSh 100,000 kila mmoja. Kwa jumla, zawadi zote zinafikia TSh milioni 6, na kufanya kila nafasi kuwa na thamani yake.
Expanse sasa imeweka mezani swali moja kubwa, nani atatawala msimamo kabla ya Agosti 21? Kwa wanaopenda kasino na mashindano yenye fursa na nafasi za ushindi, huu ni wakati wa kufuatilia Expanse kupitia Meridianbet na kushuhudia mbio za zawadi zikipamba moto.