João Pedro Kukaa Chelsea Hadi 2032 Baada ya Kukubaliana Mkataba Mpya
Mshambuliaji wa Chelsea, João Pedro, amekubaliana kusaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaomfanya kuendelea kuwa sehemu ya kikosi cha The Blues hadi mwaka 2032, huku kukiwa na uwezekano wa kuongeza muda zaidi. João Pedro, mwenye umri wa miaka 24, alijiunga na Chelsea akitokea Brighton mwaka 2025 na amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu katika safu ya…