Mpango wa Infantino wa Uwekezaji FIFA Wagonga Mwamba Baada ya Upinzani Mkali

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amepata pigo kubwa kisiasa baada ya mpango wake wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ya kusimamia haki za mashindano ya FIFA, ikiwemo Kombe la Dunia, kushindikana kufuatia upinzani mkali kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka duniani. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa, FIFA ilithibitisha kuwa imeondoa rasmi pendekezo hilo baada ya kuzua mgawanyiko…

Read More

Infantino Akabiliwa na Shinikizo Kubwa la Kuondoka FIFA Baada ya Mpango wa Kuuza Hisa Kushindwa

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anakabiliwa na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya soka la dunia kufuatia kushindwa kwa mpango wake wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ambayo ingeuza sehemu ya hisa za mashindano ya FIFA kwa wawekezaji binafsi. Mpango huo ulizua upinzani mkubwa kutoka kwa mashirikisho mbalimbali ya soka duniani, huku UEFA ikiongoza upinzani huo…

Read More

Kubashiri Sasa Kuna Faida Zaidi, Pata 100% Cash Back

Je unajua sikuhizi kubashiri kuna faida nyingi sana?. Mojawapo ni kurejeshewa pesa yako kwa 100% ambapo ukifata masharti na vigezo vya Meridianbet. Tengeneza jamvi lako leo na uwe mshindi. Meridianbet inawafahamisha wateja wake kuhusu promosheni maalum ya 100% Cash Back ambayo inalenga kuwapa wachezaji fursa ya kupata thamani zaidi wanaposhiriki katika michezo teule ya kubashiri….

Read More

Expanse Mega Cash Race Yafika Meridianbet, Shindano la TZS 6,000,000 Kwa Wapenzi wa Sloti

Burudani ya kasino imepanda kiwango Meridianbet baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Expanse Mega Cash Race, promosheni mpya inayowapa mashabiki wa sloti nafasi ya kushindania zawadi yenye thamani ya TZS 6,000,000. Hizi ni mbio za ushindi zinazowakutanisha wachezaji kutoka sehemu mbalimbali, kila mmoja akipambana kupanda nafasi na kujihakikishia sehemu ya kitita hicho kikubwa. Kama unapenda ushindani…

Read More